Hizi ni muhimu kwani ndio hujenga cells, muscles, organ na immune system. Kama mwili unakosa protein basi huanza tumia zile zilizobaki mwilini na ndipo mwili wako utaanza kuwa mnyong'ofu. Kiasi cha protein kinachohitajika kwa mtu mwenye ukimwi kisipungue gram 100 kwa mwanaume, na grams 80 kwa mwanamke kwa siku.
Vyakula vya protein na kiasi chake ni kama ifuatavyo:
- ziwa la kuku 30gm
- mguu wa kuku 11gm
- bawa la kuku 6gm
- samaki mmoja 22 gm
- kipande kidogo cha nguruwe 22 gm
- mayai 6gm
- maziwa 8gm
- maharage nusu kikombe kama 14 gm
- karanga vijiko 5 8gm
- korosho robo kikombe 9gm
Hichi ni chakula kinachotoa nguvu mwilili. Hakikisha unakula chakula cha nafaka na cha aina ya kunde. Vyakula kama ugali, ngano na viazi vina nutrients nyingi, pia vinachukua mda kuisha mwilini. Vyakula vya carbohydrate na kiasi chake angalia link hii: http://web.mit.edu/athletics/sportsmedicine/wcrhighcarbs.html
Fat
Kwa mgonjwa wa ukimwi kiasi cha fat kisizidi 30gm. Kuna wakati kiasi cha cholesterol huwa kinaongezeka kukosababishwa na dawa anazokunywa mgonjwa. Hivyo ni muhimu sana kuangalia kiasi cha fat unachokula. Vyakula vya fat na kiasi chake fungua