Wataalamu wameandika mengi kusisitiza kula matunda kutokana na umuhim wa matunda ambayo yanapatikana nchini.
zingatia yafuatayo
1.usile chakula kingi kupita kiasi na kulingana na matumizi ya mwili wake
2.kula vyakula mchanganyiko
3.kula kwa wingi matunda asili yanayopatikana nyumbani
4.punguza kula vyakula vya sukari
5.kunywa maji mengi
6.kuwa huru na vyakula
7.Jishughulishe