Katika katiba yake ya mwaka 1984 Shirika la Afya duniani (WHO) limeielezea "afya" kama ni hali ya kuwa mzima kimwili, kiakili na kiajamii na wala sio tu hali ya kutokuwepo na ugonjwa. Katika miaka kadhaa ya hivi karibuni sentensi hiyo imekuwa ikifanyiwa marekebisho na kujumuisha uwezo wa kuishi maisha yenye faida kijamii na kiuchumi..
Je, wewe kwako afya ni nini?
1. Unakula nini?
2. Unakula kiasi gani?
3. Unakula aina gani ya vyakula?
4. Una lala kwenye nini?
5. Unalala masaa mangapi kwa siku?
6. Unafanya mazoezi?
7. Unakula mara ngapi kwa siku?
8. Unapata hewa safi unapokuwa kazini au nyumbani?
9. Unapata muda wa kwenda hospitali mara kadhaa kupima afya yako?
10. Umeokoka na kumpa Bwana Yesu maisha yako?
ukijibu maswali hayo utakuwa karibu na jibu sahihi la maana halisi ya afya