Advertising

  • Matunda

    faida ya tunda la KITZ
  • Matunda

    kula matunda kwa wingi
  • GYm

    Mazoezi muhimu kwa afya
  • Mazoezi

    dada anaimarisha misuli
  • Jovago

    Promoo siku ya watendao

January 26, 2016

Mr Mtinangi

NDOA SIYO RAHA PEKEE, JIPANGE KWA MATATIZO PIA

Mr Mtinangi | 11:23 PM |





VIJANA wengi wa sasa wanatamani kuingia kwenye ndoa wakiwa na mitazamo mbalimbali; mingi mizuri. Nasema hivyo nikimaanisha kuwa, wanaamini wakiwa kwenye ndoa, watatimiza ndoto zao za muda mrefu. Hupiga picha kuhusu idadi ya watoto watakaozaa, namna watakavyowasomesha na jinsi ambavyo familia itakuwa yenye furaha. Kifupi wanafikiria zaidi kuhusu mambo ambayo yatawafurahisha. Kamwe hawapati muda wa kufikiria namna ya kukabiliana na changamoto mbalimbali za maisha watakazokutana nazo. Hawaelewi kwamba kuna siku wanaweza kukaa wiki nzima ndani bila kuzungumza! Je, ni kweli kwamba ndoa ni furaha



Mr Mtinangi

About Mr Mtinangi -

Hajasomea uandishi wa habari yeye anapenda kuisaidia jamii kufahamu yale yanayotokea duniani japo kwa kiasi kidogo na nifuraha kwako hata kama mtu mmoja akipata taarifa mpya kupitia moojuhudi,namini katika haba ile na ile hujaza kibaba

Subscribe to this Blog via Email :