Gazeti la The Sun lilimuweka kwenye headlines mkali wa kucheka na nyavu wa Man United, baada ya kumuandika kuhusu stori za usaliti wa mapenzi. Mastaa wa soka huwa wanaingia kwenye headlines za usaliti wa mapenzi aliwahi kuingia katika headlines hizoJohn Terry wa Chelsea ila yeye kulikuwa na ushahidi sasa ni Anthony Martial wa Man United
January 25, 2016
About Mr Mtinangi -
Hajasomea uandishi wa habari yeye anapenda kuisaidia jamii kufahamu yale yanayotokea duniani japo kwa kiasi kidogo na nifuraha kwako hata kama mtu mmoja akipata taarifa mpya kupitia moojuhudi,namini katika haba ile na ile hujaza kibaba