Dayna Nyange ni kipaji kingine tulichonacho kwenye muziki wa bongofleva Tanzania, 2016 ameianzisha kwa kutusogezea hii single yake ya kwanza kwa mwaka huu inaitwa ‘angejua‘ na video yake mpya ndio hii angejua
February 4, 2016
Dayna Nyange anatukaribisha kuitazama hii video yake mpya ‘angejua’
Mr Mtinangi | 4:36 AM |
burudani
About Mr Mtinangi -
Hajasomea uandishi wa habari yeye anapenda kuisaidia jamii kufahamu yale yanayotokea duniani japo kwa kiasi kidogo na nifuraha kwako hata kama mtu mmoja akipata taarifa mpya kupitia moojuhudi,namini katika haba ile na ile hujaza kibaba