Wabunifu zaidi ya thelasini (30) wameweza kulipamba vilivyo jukwaa la mitindo hapa nchini la Lady In Red fashion show 2016 lililofanyika jijini Dar es Salaam huku likishuhudiwa na wadau mbalimbali wa mitindo hapa nchini.Jukwaa hilo linaloandaliwa kila mwaka na Mama wa Mitindo nchini, Asya Idarous Khamsini ameelezea kuwa lengo la jukwaa hilo ni kuwa kimbilio la wabunifu chipukizi na kama darasa la tasnia hiyo.Onesho hilo kwa mwaka huu ni la 12 tokea kuanzishwa kwake huku likia limewatoa wabunifu chipukizi mbalimbali hapa nchini ambao wanamajina makubwa kwa sasa
February 4, 2016
Wabunifu chipukizi walivyolipamba jukwaa la Lady In Red Fashion show 2016
Mr Mtinangi | 4:44 AM |
burudani
About Mr Mtinangi -
Hajasomea uandishi wa habari yeye anapenda kuisaidia jamii kufahamu yale yanayotokea duniani japo kwa kiasi kidogo na nifuraha kwako hata kama mtu mmoja akipata taarifa mpya kupitia moojuhudi,namini katika haba ile na ile hujaza kibaba