Mkali wa kucheka na nyavu wa the blues wa jijini Manchester ameisaidia timu yake kubeba point 8 katika mechi nne na kuifanya manchester city unbeaten.
Katika mechi hizo nne Sergio Aguero amefunga magoli matano na kutoa asist moja,December tuzo hiyo ilichukuliwa na mkali wa Nigeria na club ya watford Odion Ighalo ambaye pia alifunga magoli 5 december