February 3 kocha wa Simba Jackson Mayanja amekutana na swali la waaandishi wa habari juu ya kiungo wa Simba anayeichezea timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Said Hamisi Ndemla kutopewa nafasi kwenye kikosi cha Simba toka kocha Masanja aanze kazi.
Kama ulikua hujui, Wataalamu wa mambo wanasema Ndemla ameichezea Simba sio zaidi ya dakika 50 hadi sasa