Rais wa Simba Evans Aveva akikata utepe kuzindua duka la club
Baada ya Azam FC kufungua duka lao la
bidhaa za timu, simba sc nao hii leo wamezindua duka la kuudha bidhaa za
Simba SC, ambalo linapatikana katika Dar Free Market jijini Dar es
salaam.
Duka hilo lililochini ya kampuni ya Insight Media yenye ubia na Simba SC litakuwa linauza bidhaa halali za Simba SC, kwa bei nafuu.
Wakati wauzinduzi wa duka hilo hii leo raisi wa Simba SC Evans Aveva amewakaribisha mashabiki na wanachama wa Simba SC wanaotaka kuuza bidhaa za Simba SC waende wazungumze na uongozi.
“Waje nao tuwapa tenda kama hii kwa Insight, wasaidie kuuza vifaa hivi. Wao watafaidika, klabu pia itafaidika na kupata maendeleo,” alisema Aveva.