Mshindi wa Big Brother Africa 2014 Idris Sultan anaziandika headlines kwenye kurasa za burudani… baada ya kuiwakilisha #255 vizuri kwenye shindano hilo kubwa la Africa, mafanikio mengi yamekuwa yakimfuata nyuma Idris Sultan
Kama wewe ni miongoni wa watu wanaompenda na kumfuatilia Idris kwenye social networks basi hii good news ikufikie popote ulipo mtu wangu… Idris Sultan siku chache zilizopita alitudokeza kuhusu ujio wa TV Show yake mpya itakayo kuwa inaonyeshwa moja kwa moja kupitia channel ya BET pamoja na channel ya Vuzu za South Africa! Yote ikiwa ni sehemu ya kufanikisha ndoto zake kubwa za kwendaHollywood, Marekani